ZIARA YA KIJIJINI: Kitabu C1
ZIARA YA KIJIJINI: Kitabu C1
Regular price
KSh350.00
Regular price
Sale price
KSh350.00
Unit price
/
per
Jasiri, Zuri na Toto wanatoka kwenye safari kwenda kijijini. Wanakwenda kuwatembelea Nyanya na Babu. Kutembelea kijiji ni furaha daima. Zuri na Jasiri wanajifunza jinsi ya kunyonyoa ng'ombe. Toto anafuatwa na koko. Nyanya anasimulia hadithi na Zuri anaogopa!
Kitabu hiki ni bora kwa wasomaji chipukizi wenye umri kati ya miaka saba na nane au darasa la tatu. Hadithi hii inakuza hisia za huruma, uwajibikaji, na heshima kama thamani muhimu na uwezo wa kufikiri kwa kina na kutatua matatizo kama vipaji vya CBC.