Skip to product information
1 of 1

KARAMU YA KUSHANGAZA: Kitabu E2

KARAMU YA KUSHANGAZA: Kitabu E2

Regular price KSh350.00
Regular price Sale price KSh350.00
Sale Sold out
Shipping calculated at checkout.

Jasiri, Zuri na Toto wako na furaha sana. Baba amewaahidi sherehe kubwa. Zuri na Jasiri hawawezi kusubiri kula vitafunwa vyote tamu, lakini Mama na Baba wanasema sherehe hii si kuhusu chakula. Je, inawezekana kuwa na sherehe bila chakula na kinywaji? Ni nini mshangao mkubwa wa Baba?

Kitabu hiki ni bora kwa wasomaji chipukizi wenye ujasiri kati ya miaka minane na kumi au darasa la tano. Hadithi hii inakuza Ushirikiano, Huruma na Heshima kama thamani muhimu na uwezo wa Kufikiri kwa Kina na Kutatua Matatizo kama vipaji vya CBC.

View full details