Skip to product information
1 of 1

JASIRI AMEENDA WAPI: Kitabu B1

JASIRI AMEENDA WAPI: Kitabu B1

Regular price KSh350.00
Regular price Sale price KSh350.00
Sale Sold out
Shipping calculated at checkout.

Mama na Baba wako nyumbani. Zuri na Toto wako nyumbani. Jasiri yuko wapi? Mama na Baba wanatafuta Jasiri. Zuri na Toto wanatafuta Jasiri. Nani anaweza kumpata?

Kitabu hiki ni bora kwa wasomaji wachanga wenye umri wa kati ya miaka sita na saba au walio katika Darasa la 1.

Hadithi hii inakuza Ushirikiano kama thamani muhimu na umahiri wa CBC wa Kufikiri kwa Kina na Utatuzi wa Matatizo.

View full details