Skip to product information
1 of 1

BANGILI YA AJABU: Kitabu E1

BANGILI YA AJABU: Kitabu E1

Regular price KSh350.00
Regular price Sale price KSh350.00
Sale Sold out
Shipping calculated at checkout.

Bibi Fatuma ana huzuni. Kipuli chake kimepotea. Je, Jasiri, Zuri na Toto wanaweza kupata kipuli? Kipi maalum kuhusu kipuli hiki? Jiunge na familia nzima katika hadithi hii ya kuvutia, wanapojifunza hadithi nyuma ya kipuli cha thamani cha Bibi Fatuma.

Kitabu hiki ni bora kwa wasomaji chipukizi wenye ujasiri kati ya miaka minane na kumi au darasa la tano. Hadithi hii inakuza hisia za huruma, uwajibikaji, na heshima kama thamani muhimu na uwezo wa Ubunifu na Uzani wa Kufikiri na Kutatua Matatizo kama vipaji vya CBC.

View full details